ZARI THE BOSS LADY AFUNGUKA KUHUSU PARTY,ATAJA MCHANGO WA DIAMOND PLATINUMZ


Zari the boss Lady ambaye yupo Kampala Uganda kwa ajili ya party yake “Zari All White Party” inayofanyika usiku wa December 21,2017 amefanya exclusive interview na ameelezea mchango anaoupata kutoka kwa baba watoto wake Diamond Platnumz.
>

No comments: