MKUTANO MKUU WA TISA WA CCM WAFANYIKA MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Dk.Ali Mohamed Shein wakiwasili kwenye ukumbi wa CCM kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano mkuu uliofanyika mjini Dodoma leo Jumatatu Desemba 18, 2017.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin Mkapa wakati wakati kufungua mkutano mkuu wa CCM mjini Dodoma leo Jumatatu Desemba 18, 2017.
Baadhi ya wageni waalikwa pamoja na wanachama wakiwa ndani ya ukumbi kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano mkuu unaofanyika leo mjini Dodoma
Wake wa Maraisi wakiwa kwenye mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi leo mjini Dodoma.
Meza kuu

Baadhi ya wanachama wa chama cha Mapinduzi wakiwa ndani ya ukumbi wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu uliofanyika leo mjini Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza wakati wa mkutano mkuu uliofanyika leo mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachama wa chama cha Mapinduzi alipokuwa anafungua mkutano mkuu uliofanyika mjini Dodoma leo Jumatatu Desemba 18, 2017.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu uliofanyika leo mjini Dodoma.
No comments: